Je, ni Umoja Party, ama tusubiri kingine?

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,891
Ccm imechokwa na kila mtu asiyekuwa fisadi, mnufaika wa ufisadi na asiyekuwa mwana ccm. Watanzania wamekuwa wakisubiri Chama cha Ukombozi kutoka madhira ya ccm. Je ni Umoja Part, ama Kingine?

1). Katika Umoja Party, ni muasisi pekee ndie mmiliki wa chama ama ni chama cha watu na kila mtu anaweza kuwa Kiongozi mkuu?

2). Katika Unity Party, mnaweza kuzifafanua falsafa za Magufuli mnazotaka kutokea badala a kusema Magufulication bila kubainisha ili watu waelewe kwamba mnaelewa na mnajali?

3). Ccm iliomweka Magufuli madarakani, imeacha mambo gani ya muhimu ambayo yana maslahi mapana a taifa baada ya Rais Magufuli kuwa hayati?

4) Mnaweza kueleza Uma ni kwa namna gani Magufuli alikuwa akitekeleza sera zake na si za Chama cha Mapinduzi?

5) Ni kwa naman gani CCM imedhihirisha kwamba imezoea vya kunyonga, kuchinja haiwezi?

6) Mnajitofautishaje na vyama vya upinzania kama CHADEMA, ambao kwa sasa wanaonekana wamejaa uchungu na hasira binafsi dhidi a Magufuli na si CCM tena? ie. Awamu ya Kikwete kuna mengi ya hovyo waliaibua, ufisadi wa kutisha, ambao leo wanaubariki!.

Wamefunika. WAnasema Magufli alianzisha utekaji wa watu wakisahau kwamba Dr. Uliomboka alitekwa na kung'olewa kucha kabla a Magufuli, wanasahau mauaji ya Mwangosi, wizi wa kutisha na mikataba filisi, Wizi wa wanyama, tembo nk, wafanakazi hewa, ukosefu wa nidhamu makazini na huduma mbaya za jamii, kushamiri kwa rushwa na madawa ya kulevya, n.k. Hii bila shaka inaonyesha Moyowa CHADEMA si kwa Watanzania bali kwa maslahi ya viongozi wao tu. No wonder leo wamefuta makosa yote wanashangilia ccm.

Uniparty, inajibainishaje kwamba hatakuwa kama ccm ambayo, imemteua Mgombea wa Uraisi, (Magufuli), wamempigia kampeni kwa mbwembwe wakiwaaminisha Watanzania kwamba ni mtu sahihi. Ameingia madarakani kwa vishindo, shangwe na nderemo. Amekuwa k iongozi mkuu akienziwa kwa nyimbo za kila sifa. Leo amefariki dunia, ccm hao hao wameanza kumnanga hadharani. Tena kwa matusi makubwa na kumdhalilisha kiazi kama kwamba sasa wanataka kumwondolea hata ahdhi a urais mstafu.

Vingozi wa nchi, hata mkuu mwenzake, leo wananena yyasiyofaa hadi katiak vombo vya kimataifa. Kama ndivyo hivyo, CCm wanabakia na sifa gani ya kusimama kwenye uchaguzi wakinena neno la kuaminiwa? Siyo wao waliowaaminisha watanzania kwamba Magu, ni jembe? Sio wao waliompigia kampeni? Siyo wao waliosimamia joho la utendaji kazi wake hatimaye wakaunda bunge la chama kimoja? Ni lini walipoona huyu mtu ni Mbaya? Ina maana wanatuleteaga watu watu tu ili mradi bila kuwa na hakika na uwezo wala ubora wa hawa watu? Asingefariki wangesema kwamba hafai? Kuwarudisha watu waliokuwa wameondolewa na mifuno ya kwamba hawafai, kunaonesha kwamba wanafaa na walionewa? Lipi ni la kweli kwa ccm?

Unity Party, Watanzaina tunahitaji uongozi makini, unaojali, unaoelewa na kumaanisha. Jibuni hoja za Watanzania ili mjitofautishe na haa makundi mengine mpate nchi. Vinginevyo, kwa kusema tu "fasfa za magufuli", hakuwafanyi tofauti na magenge mengine.

Je ni Unity Party, ama Watanzania wangojee Mwingine?

Kwanza ofisi zenu ziko wapi?
 
Mpaka hapo tu hicho chama kimeshashindwa! Gia walioingianayo watachakazwa asubuhi na mapema!,chama kikikosa top thinkers tu tayari na dira ishavurugika!.. Mwendazake namkubali ndio lakini walitakiwa wasimamie misimamo ya aina fulani sio kwa jina fulani!. By the way chichiemu lazima wakiletee vurugu tu hata kwa kukinunua,ama kikawa cha mpango fulani.. Kuna watu wanajua kucheza bhana..😊
 
Mwanzoni, niliona shallowness za contentions zao lakini nikadhani, labda wameweka cannon fodders kupima kiwango cha maji.
 
Ccm imechokwa na kila mtu asiyekuwa fisadi, mnufaika wa ufisadi na asiyekuwa mwana ccm. Watanzania wamekuwa wakisubiri Chama cha Ukombozi kutoka madhira ya ccm. Je ni Umoja Part, ama Kingine?

1). Katika Umoja Party, ni muasisi pekee ndie mmiliki wa chama ama ni chama cha watu na kila mtu anaweza kuwa Kiongozi mkuu?

2). Katika Unity Party, mnaweza kuzifafanua falsafa za Magufuli mnazotaka kutokea badala a kusema Magufulication bila kubainisha ili watu waelewe kwamba mnaelewa na mnajali?

3). Ccm iliomweka Magufuli madarakani, imeacha mambo gani ya muhimu ambayo yana maslahi mapana a taifa baada ya Rais Magufuli kuwa hayati?

4) Mnaweza kueleza Uma ni kwa namna gani Magufuli alikuwa akitekeleza sera zake na si za Chama cha Mapinduzi?

5) Ni kwa naman gani CCM imedhihirisha kwamba imezoea vya kunyonga, kuchinja haiwezi?

6) Mnajitofautishaje na vyama vya upinzania kama CHADEMA, ambao kwa sasa wanaonekana wamejaa uchungu na hasira binafsi dhidi a Magufuli na si CCM tena? ie. Awamu ya Kikwete kuna mengi ya hovyo waliaibua, ufisadi wa kutisha, ambao leo wanaubariki!.

Wamefunika. WAnasema Magufli alianzisha utekaji wa watu wakisahau kwamba Dr. Uliomboka alitekwa na kung'olewa kucha kabla a Magufuli, wanasahau mauaji ya Mwangosi, wizi wa kutisha na mikataba filisi, Wizi wa wanyama, tembo nk, wafanakazi hewa, ukosefu wa nidhamu makazini na huduma mbaya za jamii, kushamiri kwa rushwa na madawa ya kulevya, n.k. Hii bila shaka inaonyesha Moyowa CHADEMA si kwa Watanzania bali kwa maslahi ya viongozi wao tu. No wonder leo wamefuta makosa yote wanashangilia ccm.

Uniparty, inajibainishaje kwamba hatakuwa kama ccm ambayo, imemteua Mgombea wa Uraisi, (Magufuli), wamempigia kampeni kwa mbwembwe wakiwaaminisha Watanzania kwamba ni mtu sahihi. Ameingia madarakani kwa vishindo, shangwe na nderemo. Amekuwa k iongozi mkuu akienziwa kwa nyimbo za kila sifa. Leo amefariki dunia, ccm hao hao wameanza kumnanga hadharani. Tena kwa matusi makubwa na kumdhalilisha kiazi kama kwamba sasa wanataka kumwondolea hata ahdhi a urais mstafu.

Vingozi wa nchi, hata mkuu mwenzake, leo wananena yyasiyofaa hadi katiak vombo vya kimataifa. Kama ndivyo hivyo, CCm wanabakia na sifa gani ya kusimama kwenye uchaguzi wakinena neno la kuaminiwa? Siyo wao waliowaaminisha watanzania kwamba Magu, ni jembe? Sio wao waliompigia kampeni? Siyo wao waliosimamia joho la utendaji kazi wake hatimaye wakaunda bunge la chama kimoja? Ni lini walipoona huyu mtu ni Mbaya? Ina maana wanatuleteaga watu watu tu ili mradi bila kuwa na hakika na uwezo wala ubora wa hawa watu? Asingefariki wangesema kwamba hafai? Kuwarudisha watu waliokuwa wameondolewa na mifuno ya kwamba hawafai, kunaonesha kwamba wanafaa na walionewa? Lipi ni la kweli kwa ccm?

Unity Party, Watanzaina tunahitaji uongozi makini, unaojali, unaoelewa na kumaanisha. Jibuni hoja za Watanzania ili mjitofautishe na haa makundi mengine mpate nchi. Vinginevyo, kwa kusema tu "fasfa za magufuli", hakuwafanyi tofauti na magenge mengine.

Je ni Unity Party, ama Watanzania wangojee Mwingine?

Kwanza ofisi zenu ziko wapi?
CHADEMA ndio tegemeo la nchi.
 
Watoke na ukabila wao
Mkubwa, usiwazalishie ukabila. Wanasema ni chama cha mkusanyiko wa watu wote na ndio sababu kinaitwa umoja party. Twende na hoja kiongozi, tusichoke kuchangia mawazo boreshi.
 
Wameshapoteana maana CCM ilihakikisha wanachama wote wa mwanzo na yenyewe inapandikiza wa kwake
 
Back
Top Bottom