Je, ni usajili Gani Simba tulipigwa?

Je, ni usajili Gani Simba tulipigwa?

Hakuna usajiri waliopigwa bali walipata wachezaji kulingana na pesa yao ilivyokuwa....!!, Hata unapokwenda dukani kununua simu utakuta ya 3m na 1m automatically ukinunua ya 3m n Bora kuliko ya 1m. Kwa ufupi pesa yao ndio iliamua Aina ya wachezaji wanaowataka.
Vp mbna timu ipo chini ya billionaire
 
Simba kuna uhuni mwingi sana kwenye usajili. Jiulize unamtoa Duchu kwa mkopo halafu unamsajili Mwenda, unamuacha Ndemla halafu unamleta Kapama, unamtoa Kagere na Mugalu unamleta Dejan na Kyombo., unamuacha Wawa halafu unamleta Outara, unamuacha Lwanga/Fraga unamleta Akpan, unazembea kumsajili Manyama anaenda Azam huku umemngángánia Gadile Michael ambaye hana msaada kwa Zimbwe matokeo yake Zimbwe hapumziki msimu mzima. Listi ni ndefu sana ngoja niishie hapa hapa.

Kama kuna timu ambayo ina jicho kali kwenye usajili ni Simba lakini ikifika sasa wakati wa kulipa pesa ili wamsajili mchezaji shida ndio inapoanzia. Kuna wakati huwa naifananisha Simba na Arsenal ya mzee Wenger wakati wa usajili kwani yatatajwa majina makubwa lakini mwisho wa siku wanasajiliwa wachezaji wadogo. Tena hata bora ya Wenger alikuwa mbunifu kwa kusajili wachezaji wasio na majina lakini wenye vipaji tofauti na Simba.
 
Lkn tuliambiwa walisain mkataba wa 26 billion [emoji38][emoji38]
 
KILA SIKU TUNAWAAMBIA ACHENI KULETA WACHEZAJI MIZIGO. TIMU INATAKIWA IFANYE MABADIRIKO. VIONGOZI WANAPASWA WAJIUZURU NA WACHEZAJI WAONDOSHWE.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????

1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
Kujiudhuru ni kipengele Kwa sisi wabongo
 
UJINGA NI KIPAJI.
NABI KAFELISHA WACHEZAJI KAMA IFUATAVYO.

1.David braison.
2. Elitiel makombo.
3. Choko ushindi WA kubanza.
4. Lazaros kombole.
5. Krispin Ngushi.
6. Danis nkana.
7. Yakuba sogne.
8. Ninja.
9. Dickson ambundo
.....................................................................

Benard MORISON.
Tuisila kisinda.
Mama Dombia.

Hawa ni Nabi tu.
 
Kambole kafunga goal nyingi kuliko ......boko
 
Back
Top Bottom