Je, ni ustaarabu kwa mgeni kujifungulia friji na kujihudumia?

Je, ni ustaarabu kwa mgeni kujifungulia friji na kujihudumia?

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Je, ni ustarabu kwa mgeni kujifungulia friji na kujihudumia.
 
Tafuta hela wewe. Mnajitapa mtaani huku pesa za kuunga. Halafu wabongo mnatakaga wageni wa nn nyumbani?
 
Inategemea n mgeni yupi na una mahusiano nae yapi.
 
Friji ni chombo binafsi ndani ya nyumba, hivyo sio ustaarabu kwa mgeni kufungua na kujihudumia. Unakuta vitu vimewekwa kwa mpangilio maalum wa matumizi hivyo ni vyema kusubiri kuhudumiwa
 
Back
Top Bottom