Mtumishi 19
Member
- Feb 27, 2026
- 29
- 64
Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
Pale Halmashauri unapaswa uende na nini hasa?Unaenda kukata leseni halmashauri
Kisha utaenda kukadiriwa kodi TRA, kama ni uwakala wa fedha makadirio ni 0.
TIN noPale Halmashauri unapaswa uende na nini hasa?
Leseni ya biashara una apply online Tausi portal haina haja ya kwenda ofisini kwaoPale Halmashauri unapaswa uende na nini hasa?
Bila kusahau Lease Agreement(Mkataba wa Kupangisha fremu/ofisi)TIN no
NIDA no
Certificate of registration from Brela
Extract certificate
Uzi ufungwe5m unataka ugawane na mamlaka au sio? ,.....kuna watu wapo na mizunguko ya 20mil na mamlaka haziwagusi wala kuwaona adi pale atakapokua tayar amejipata ndio atajisalimisha