Kwa bahati mbaya sana katika jamii yetu ya sasa tofauti na zamani vijana wengi huingia ktk ndoa huku tayari walishakuwa na mahusiano na vijana wengine kimapenzi hapo kabla.Je ni ustaraabu kuruhusu mazoea kama vile ndugu za mpenzi wa mkeo au mmeo wa zamani kuja kumsalimia mkeo au mmeo au wakati mwingine mpenzi wa zamani wa mkeo au mmeo kuja kumsalimia mke au mme nyumbani?Naomba michango yenu wana jamii forum.