johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwani katika Nchi hii kuna uzalendo?Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo?
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ni Yanga!Kwani katika Nchi hii kuna uzalendo?
Kama walioapa kuilinda Katiba ya Jamhur wanaivunja hadharan bila hofu wala AIBU yoyote na twaendelea kuwaamini
Wacha Wana Yanga wafanye wapendavyo viongoz wanafanya makubwa kuliko hayo na tumeufyata kimyaa
Lakini cha ajabu Plateau wenyewe waliwapuuza hao mashabiki wa Yanga. Nadhani Plateau hawakuwa wazalendo kwa hiloKupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Huo ni uzalendo... Wao wameenda kama watanzania, si kama wana'yangaKupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo?
Maendeleo hayana vyama!
Simba 5 Plateau 0Yanga wameonesha ukarimu tulionao watanzania hasa kwa kuwapokea wageni na kuwakirimu , kwa hiyo mlitaka wasikaribishwe kwa kuwa eti ni wapinzani wa Simba kwani Simba ni Yanga ? Acheni mambo yenu ya kizamani Simba chezeni mpira au ndo mmewaogopa mnataka kusingizia mashabiki wa Yanga kwa kuwapokea?
Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo?
Maendeleo hayana vyama!
Mimi sio mwanasiasa jibu langu ni moja tu kwamba wote walikwenda kuwapokea ni washambaKupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere.
Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki kilichofanywa na mashabiki wa Yanga kina chembe ya uzalendo?
Maendeleo hayana vyama!
Hapana mkuu hizi timu zetu za Africa labda kwingine sijui Ila zetu tuna zile Imani za ushirikina hasa hiyo timu ilipotoka, sasa watu wake wakupokee huna taarifa nao wala hawakuhusu hata kama wewe utamfurahia na kwake upo vitani? Hiki ndicho ambacho mashabiki wa Yanga hawakukiwaza kabisa, hurumaLakini cha ajabu Plateau wenyewe waliwapuuza hao mashabiki wa Yanga. Nadhani Plateau hawakuwa wazalendo kwa hilo