Je ni vibaya mgonjwa kuhonga ili aokowe maisha yake?

SEGUZO

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
280
Reaction score
198
Wakuu nataraji wote niwazima wa afya, kama tunavyojua wote rushwa ni kosa kwa sheria ya nchi na pengine kwa Mungu, kwa mtoaji na mpokeaji.
Swali langu mimi ni ikiwa mgonjwa mwenye hatari ya kupoteza maisha na katika kutibiwa kwake sharti ni kumhonga mhudumu wa afya.

Je akitoa rushwa ni dhambi kwa Mungu na kwa serikali?

 
Chagua uzima au pesa?inapobidi ni kujiongeza ili update Huduma ukileta uharakati ndugu unapotea.ni ngumu kumeza ila ndio hivyo hakuna namna..
 
Na asiyekuwa na uwezo wa kuhonga ataokoaje maisha yake!? Au maisha ya maskini/fukara hayana thamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…