SEGUZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 280
- 198
Wakuu nataraji wote niwazima wa afya, kama tunavyojua wote rushwa ni kosa kwa sheria ya nchi na pengine kwa Mungu, kwa mtoaji na mpokeaji.
Swali langu mimi ni ikiwa mgonjwa mwenye hatari ya kupoteza maisha na katika kutibiwa kwake sharti ni kumhonga mhudumu wa afya.
Je akitoa rushwa ni dhambi kwa Mungu na kwa serikali?