Je, ni viongozi wa Chama na serikali waliowahi kuwekewa vikwazo vya kuingia nchi za nje?

Je, ni viongozi wa Chama na serikali waliowahi kuwekewa vikwazo vya kuingia nchi za nje?

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,766
Reaction score
4,048
Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo.
- Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini
- Rais atoe tamko
- Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi.

Naomba kujuzwa kwa wale wanaofahamu, hivi tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru, zikaungana ikazaliwa Tanzania hadi sasa, ni viongozi wangapi wa serikali au chama hapa nchini walisha fungiwa kuingia nchi za nje ikiwemo marekani, na ni kosa gani walifanya, na ni hatua gani nchi yetu ilichukua kupata ufumbuzi wa jambo hilo.

NASHUKURU
 
Nimeuweka huu uzi ili watu wajue kinachoendelea ni nini na matokeo yake yatakuwa yapi?

Bila kufahamu historia watu wanaweza ongea tu bila kujua wanaloliongea.

Kama tangu uhuru hakuna kiongozi wa chama au serikali aliyewekewa pin, je serikali inafikiriaje hili jambo?

Hapa waesije jaribu kutoshana nguvu na Marekani, maana Marekani ikikunyea utanuka Dunia nzima
 
kwa bahati mbaya sana tangu tupate uhuru hakuna kiongozi aliepigwa ban, isipokua huyu merkonda ndio mtu wa kwanza na hii inasikitisha!
 
Nimeanza kumuamini Gwajima kuna siku alipiga maombi ya kumfuta makonda kwenye siasa sasa nimeanza kuona uwezekano wa wazi kabisa kwa huyu mkoromije kutoweka kama wastaafu wa soka
 
Back
Top Bottom