Kutokana na hili la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaamu kuzuiliwa kuingia Marekani, watu waengi wamajitokeza kila mmoja akileta mawazo yake juu ya jambo hilo.
- Wengine serikali ipige marufuku wamarekani kuingia nchini
- Rais atoe tamko
- Marekani imevunja sheria ya kidiplomasia na mengine mengi.
Naomba kujuzwa kwa wale wanaofahamu, hivi tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru, zikaungana ikazaliwa Tanzania hadi sasa, ni viongozi wangapi wa serikali au chama hapa nchini walisha fungiwa kuingia nchi za nje ikiwemo marekani, na ni kosa gani walifanya, na ni hatua gani nchi yetu ilichukua kupata ufumbuzi wa jambo hilo.
NASHUKURU