Je ni viumbe kutoka sayari ya mbali ndiyo waliyo jenga Pyramid? Part 2

Je ni viumbe kutoka sayari ya mbali ndiyo waliyo jenga Pyramid? Part 2

kuna masalia mengi tu, ambayo yana onyesha kwamba kilichotengeneza hivyo vitu sio cha dunia hii.

Nazc lines hadi leo mchoraji wake hajulikani.
na mistari hiyo imekuwepo miaka mingi sana hata kabla ya Kristo.

ni michoro ambayo ili mchoraji aone picha ya kamili ya alichokichora Nia lazima awe juu kabisa(angani).

sasa tunajiuliza aliwezaje kuchora picha ya namna hiyo?.
ni michoro iliyostadiwa kabisa, mchoraji alichora kitu anachokita na na sio kwamba ni michoro ya bahati mbaya.
Sasa aliweza vipi kuona ukamilifu wa kile alichokuwa anachora bila kuwa angani?.
inamaana ndege zimekuwepo kabla ya hata ya Kristo?.

leo picha zote za hizo mistali zinapigwa kutoka angani.
bila kufanya hivyo uwezi kupata picha kamili ya mistali hiyo.

Nadhani hii dunia iliwai kuwa bezi ya viumbe wengine kutoka juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sn mtoa mada.. Ila nadhan kuhusu teknolojia vimepita vizazi na vizazi na miaka na miaka kabla ya vizazi vyetu. Nadhan kuna kizazi kilipita na kikafa chote ambacho kilikuwa na majitu yenye nguvu (mfn goliath) na pia wenye uwezo wa kutumia teknolojia ya kisasa ambayo nayo pia ikaja kuja. Teknolojia isiyojulikana..

Sent using Jamii Forums mobile app
nephils? and hiyo teknolojia kubwa walikua time travelers wakatembea hadi 2020 na kurudi tena BC?
 
Back
Top Bottom