kuna masalia mengi tu, ambayo yana onyesha kwamba kilichotengeneza hivyo vitu sio cha dunia hii.
Nazc lines hadi leo mchoraji wake hajulikani.
na mistari hiyo imekuwepo miaka mingi sana hata kabla ya Kristo.
ni michoro ambayo ili mchoraji aone picha ya kamili ya alichokichora Nia lazima awe juu kabisa(angani).
sasa tunajiuliza aliwezaje kuchora picha ya namna hiyo?.
ni michoro iliyostadiwa kabisa, mchoraji alichora kitu anachokita na na sio kwamba ni michoro ya bahati mbaya.
Sasa aliweza vipi kuona ukamilifu wa kile alichokuwa anachora bila kuwa angani?.
inamaana ndege zimekuwepo kabla ya hata ya Kristo?.
leo picha zote za hizo mistali zinapigwa kutoka angani.
bila kufanya hivyo uwezi kupata picha kamili ya mistali hiyo.
Nadhani hii dunia iliwai kuwa bezi ya viumbe wengine kutoka juu.
Sent using
Jamii Forums mobile app