Je, ni vizuri kumpiga shemeji yako?

Mimi ningemla makonde mpaka achakae na siku nyingine asingerudi kubwabwaja hapo, na huyo dada yenu mpige maarufuku kuja hapo.
 
Bro sijajua age yako ila ningekushauri waache wenyewe wamalizane.
Yaani mimi ni muumini wa "leave and observe from watchtower"

Tena ingependeza ukawa na life lako mwenyewe na sio kukaa home.
Walipaswa kumalizana nyumbani kwao lakin Kwa kuwa wako hapo wanapaswa kuwa na adabu otherwise atembezewe kichapo sheeenz type!!
 
Na wewe kwa nini uishi kwenu?, unatakiwa ukajitegemee; uwe na kwako
 
Uyo apigwe..ila subiri mwezi upite ajisahau kuwa aligombana na nani..mnamuwinda na kumfua vizuri tu..hii ni njia salama zaidi
 
Nakumbuka nikiwa nasoma Chuo kuna siku nilirudi likizo nyumbani Moro uswekeni huko. Mzee alikuwa na nyumba mbili moja anaishi na nyingine ya kupangisha.

Mzee wangu alimlazimisha bro wangu kumuoa mwanamke tokana na kumjaza mimba na kuzaa mtoto so wazee hawakutaka damu ya kimachame ipotee na mzee akamwambia aishi naye kwenye nyumba ile ya Wapangaji ili ambane aishi na huyo mwanamke kwani jamaa alikuwa hamtaki na alikuwa dereva wa Maroli so muda mwingi hakai home. Baada ya miezi 6, mwanamke akaanza funua makucha. Siku hiyo, Mi nimekaa ndani namsikia mkewe anamtukana Mama yangu matusi ya nguoni eti kisa Mama kumwambia asimpige mtoto kila mara kwani yule mwanamke akili haikuwa imetimia na alikuwa anampiga mtoto mara kwa mara kama ngoma.

Akamporomoshea Mama matusi pale mi nipo ndani kumbe hakujua kama mimi nipo na alijua hakuna mtu na Mama yupo peke yake. Nikatoka na kumuuliza kwanini unamtukana Mama yangu matusi ya namna hiyo. Je sisi tumeshawahi kukutukana? Akaniambia nawe ni "msenge tu na kama mwanaume kweli niguse" Hahaaaaaa, niliambiwaga na mzee pamoja na majirani kuwa yule mwanamke anatukana na kugombana na kila mtu. Hakuwa anaelewa na majirani wala wapangaji wala mme wake. Yeye ni matusi tu.

Aiseee, nilimgonga sana siku ile na majirani wala wapangaji wenzie hawaji muamulia kwani kwa miezi sita waliokaa naye walishamchoka. Nilimgonga sanavibao, ngumi na mateke siku ile. Nilimpiga kama ngoma.

Hao mashemeji wakiwa wajinga, wapigwe tu. Pumbavu zao.
 
Tena ambaye akiwa mzima bila kulewa kulewa. Amwambie akikataa, siku asubiri akiwa hajalewa na ampiga kweli kweli.
 
Huyo dada kwanza angekula makofi akae pembeni ndiyo afuate shemeji kula vitasa. Mwisho wa siku ni dada yenu kuuliwa huko.
 
Mkuu hapa hiyo ni ndoa, wenye nayo wanaielewa, Kuna ndoa ugomvi ni sehemu Yao ya maisha na hawachani miaka nenda Rudi. Na wanaupendo wa dhati kabisa baina Yao. Nakusihi Kwa Ayala na paa wa nyika usiingilie wala kumpigia shemeji Yako. Kaa mbali.
 
Huyo apigwi ngumi
Itakuwa kesi ya shambulizi la mwili
Unamgonga mabanzi yale dabali dabali hata akienda police kustate anaonekana ni mvivu na mzembe
Usimtoe damu
 
Mwafrika ni mnyama kama fisi na hayawani wengine tu.
 
Nyie wote na dada yako wajinga tupu.
Mnahendekeza ujinga na Dada yenu na shemeji yenu anawachezea akili na nyie mmekubali kuchezewa.
 
Inaonekana Dada yako ni Polygon anajua akiachwa ndio basi tena.

Lakini kwanini hiyo familia yenu inachezewa hivyo?

Kwaninu nyote hamheshimiki? Au Shemeji anawalisha familia yenu nyote?
 
Nyie vijana wa kiume ndiyo walinzi wa usalama wa nyumbani kwenu wakiwemo wazazi na dada zenu, hakuna jirani atakuja kuwatetea.

Dada yenu kwa mfano akirubuniwa na jamaa kwa kutoroshwa bila kufuata utaratibu, kazi yenu ni kumfuata huko aliko na kumfundisha adabu bwana yake na kumburuza kumrejesha nyumbani.

Kwa issue hii shemeji yenu akija nyumbani kupumbaf pumbaf bila heshima, anatakiwa kuadabishwa kwa mboko za piga garagaza nguo kuchanika, ili siku nyingine akanyage lubhuga yenu akiwa na adabu kichwani mwake.

Hata akiwa mbabe, mnamchangia, tandika zile fimbo za kipopopo hadi analia kabisa, mkiona anajikojolea, jua fimbo zimemwingia, siku nyingine atakuja kwa heshima na taadhima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…