Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua?

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Je, ni vyakula gani ambavyo anapaswa kula mwanamke ambaye amejifungua ili kuweza kurejesha hali yake kuwa sawa na pia aweze kuwa na maziwa mengi kwaajili ya kumnyonyesha mtoto?
 
Mboga za majani, samaki, uji wa muhogo au dona aweke pilipili Manga. Ukipata Unga au majani ya mlonge akachanganya kwenye chakula chake, shida ya maziwa itaisha.
 
Back
Top Bottom