Nyie Yanga ndio mnawaroga halafu mnalalamika. Hao wa kwenu wamefanya nini?Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo.
Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA analazimika kwenda kuangalia Var?
Je, malalamiko ya wachezaji sio kigezo cha yeye kufanya hivo?
Haya magoli yote yametoka kwa wachezaji wa SIMBA SC , ni aibu na hasara
Kwa hiyo nani angedaka leo?Pamoja na yote, Manula sio KIPA ila ni the most loved one , sijajua ni kwanini. Jamaa huwa haoni movement za mpira sio kama DIARA. Mmmh kweli Uchawi upo.
Hoja ya msingi, je ni wakati gani REFA analazimika kwenda kuangalia Var?
Je, malalamiko ya wachezaji sio kigezo cha yeye kufanya hivo?
Haya magoli yote yametoka kwa wachezaji wa SIMBA SC , ni aibu na hasara
KakolanyaKipa namb 2
Kaasababu alikua na uhakika na maamuzi yakeThank you
Mbona wachezaji wamemuomba sana kutumia Var na kagoma
Fafanua vizuri wewe mbuzi!Haya magoli yote yametoka kwa wachezaji wa SIMBA SC , ni aibu na hasara
Hiiiiii, unachokitafuta utakipata sasa hivi! Sijui kama maandazi yatakuacha salama!Tatizo kubwa ni uwepp wa SSC players kwenye national timu
Hawa watu ni wavivu wapo slow na hawajitumi
Refa wa kati kuwa na uhakika sidhani kama ni sababu ya var kutotumika mfano refa wa kati anaweza kuamua ni penati au sio penati lakini var wakiona kuna utata watamwambia akahakikishe kama ni penati kweli au sio penati kweli. Chakujiuliza kwa nini matukio mengine ambayo yanaonekana yana utata var hawamwambii refa wa kati?Kaasababu alikua na uhakika na maamuzi yake