Kama ni hivyo basi walioamua hivyo ni vilaza sana maana kadi iwe njano au nyekundu zote zinaiathiri timu na kumwathiri mchezaji husika.Inatumika mchezaji akipewa kadi nyekundu moja kwa moja itakayolalamikiwa au kuonekana ni ya kionevu. Ila kwenye kadi ya njano huwa ni maamuzi ya refa hayaingiliwi na VAR iwe ya uonevu au ukweli