Je, ni Wakati Muafaka Simba SC Kuipotezea Michuano ya CAF Super League?

 
Kwahiyo unaona maajabu simba kufungwa na Berkane tena ugenini? Mbona hushangai Aly ahaly kufungwa tena kwake na Mamelodi?
 
Unasema Simba amecheza mechi 5 ugenini hajashinda hata mechi moja, haya nitajie timu ambayo imeshinda ugenini..!

Acha kuna na akili ya Manara kuropoka bila mpango kwa sababu ya njaa

Simba SC ndo inawatoa tongo tongo zenu Kimataifa kwa miaka yote.
Mkuu ulishaambiwa kule usukuleni hakuna mwenye akili. Ukibishana Sana na haya mautopolo yatakuambukiza tu ule ujinga aliousema Manara mwenyewe.
 
Acha kutuletea mechi za mamantilie na watoto wake nyumbani. Jua tu kwamba baba Yuko ughaibuni akikutafutia riziki ili mkono uende kinywani na hatimaye ukajaze choo.
Sasa mbona Mama Ntilie Mbeya City aliwakonya SIMBA SC kimoja na kuondoka na alama 3...?
 
Nadhani mada zingine hazipaswi kuwepo JF. Huku Kuna great thinker. Simba Kama muwakilishi wa Nchi hapaswi kubezwa kwa maneno ya khanga. Ranking hazitengenezwi msimbazi wa TFF.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Uliangalia mpira kweli wewe?
 
Sasa mbona Mama Ntilie Mbeya City aliwakonya SIMBA SC kimoja na kuondoka na alama 3...?
Haijalishi , mtoto anaweza kumuotea baba akamzaba kofi. Lakini mamantilie Yanga atabaki kuwa mama wa nyumbani tu akisubiri kuletewa ale , anye, ashibe Halafu akajaze choo
 
Mpumbavu wewe.Guniooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…