Je, ni Wakati Muafaka Simba SC Kuipotezea Michuano ya CAF Super League?

Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani.mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.[emoji23][emoji23]
20220203_175103.jpg
 
Kwahiyo unaona maajabu simba kufungwa na Berkane tena ugenini? Mbona hushangai Aly ahaly kufungwa tena kwake na Mamelodi?
 
Unasema Simba amecheza mechi 5 ugenini hajashinda hata mechi moja, haya nitajie timu ambayo imeshinda ugenini..!

Acha kuna na akili ya Manara kuropoka bila mpango kwa sababu ya njaa

Simba SC ndo inawatoa tongo tongo zenu Kimataifa kwa miaka yote.
Mkuu ulishaambiwa kule usukuleni hakuna mwenye akili. Ukibishana Sana na haya mautopolo yatakuambukiza tu ule ujinga aliousema Manara mwenyewe.
 
Acha kutuletea mechi za mamantilie na watoto wake nyumbani. Jua tu kwamba baba Yuko ughaibuni akikutafutia riziki ili mkono uende kinywani na hatimaye ukajaze choo.
Sasa mbona Mama Ntilie Mbeya City aliwakonya SIMBA SC kimoja na kuondoka na alama 3...?
 
Nadhani mada zingine hazipaswi kuwepo JF. Huku Kuna great thinker. Simba Kama muwakilishi wa Nchi hapaswi kubezwa kwa maneno ya khanga. Ranking hazitengenezwi msimbazi wa TFF.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Uliangalia mpira kweli wewe?
 
Sasa mbona Mama Ntilie Mbeya City aliwakonya SIMBA SC kimoja na kuondoka na alama 3...?
Haijalishi , mtoto anaweza kumuotea baba akamzaba kofi. Lakini mamantilie Yanga atabaki kuwa mama wa nyumbani tu akisubiri kuletewa ale , anye, ashibe Halafu akajaze choo
 
Sisi sote tumejionea perfomance ya anayejiita klabu bora 19 barani afrika.

Sijui umenielewa?

Yaani nawazungumzia wale walio leta orodha kuwa na wao wamo ndani ya klabu 10 bora barani afrika.

Hawa jamaa zetu mpaka sasa mechi 5 zilizopita walizo cheza ugenini hawaja shinda hata mechi 1. Lakini bado ukiwasikia sauti zao wanakwambia wao wako 10 bora afrika.

Sasa hawa jamaa zetu juzi juzi eti nao waliposti picha mitandaoni wakionyesha wako kwenye vikao kuhusu CAF Super League.

Je unadhani na kikosi chao hiki cha tia maji tia maji wanaweza kweli shindana na wababe wa bara ikiwa klabu ndogo kama berkane (Azam FC ya morroco) wame wanyanyasa nna ile?

Hapo umekutana na Berkane na sio ES de Tunis au WAD Casablanca wala Orlando Pirates.

Kwasababu hata mimi ninawatamani hawa wapuusi, na likosi lao libaya ilo.

Au isije kuwa Babra alienda tu kuomba nafasi ya upendeleo ili nao washiriki?

Hawa Jamaa wana vituko sana yaani.

Halafu kuna jamaa ambae nilikuwa namwelezea kwamba hawana uwezo wa kupambana kwenye haya mashindano makubwa Afrika akawa mbishi akaniambia anaitamani Mamelodi Sundowns, sasa kama hawa Berkane wanakuzabua namna hii utawezana kweli na watu walio na full facility ya soka.

Ni nani mwingine anaye shangazwa na hawa jamaa.[emoji23][emoji23]
Mpumbavu wewe.Guniooo!
 
Back
Top Bottom