Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Kapiga faulo ngapi? Na Je, amewahi kuwa mfungaji bora kwenye hizo freekicks ili Simba ikamnunue mtu wa hivyo popote alipo?ana magoli kama 4 mashindano yote tangu mwaka jana...una swali lingine?