Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,592 Reaction score 2,629 Jan 8, 2022 #61 Nystatin said: ana magoli kama 4 mashindano yote tangu mwaka jana...una swali lingine? Click to expand... Kapiga faulo ngapi? Na Je, amewahi kuwa mfungaji bora kwenye hizo freekicks ili Simba ikamnunue mtu wa hivyo popote alipo?
Nystatin said: ana magoli kama 4 mashindano yote tangu mwaka jana...una swali lingine? Click to expand... Kapiga faulo ngapi? Na Je, amewahi kuwa mfungaji bora kwenye hizo freekicks ili Simba ikamnunue mtu wa hivyo popote alipo?
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Jan 9, 2022 #62 Simba ina tatizo la set pieces either wapate wao au ipigwe upande wao ni tatizo la mda mrefu sana toka kipindi kile wanafungwa goli tano tano kutoka kwa al ahly na as vita.
Simba ina tatizo la set pieces either wapate wao au ipigwe upande wao ni tatizo la mda mrefu sana toka kipindi kile wanafungwa goli tano tano kutoka kwa al ahly na as vita.