Je, ni wakati sasa wa Jeshi letu kuwa na Technological Defense Command (Technological Warfare Command)?

Dah,shida yako ni kuthibitisha kwamba haiwezekani,haifai ama?
 
Tatizo jeshi letu lina usiri saana lakini amini nakwambia hicho kitengo kipo na kwa East Africa we are the best tukifuatiwa na Rwanda (rwanda wao wanafundishwa na Israel na Russia)

Tz wanapewa mafunzo na china na nchi X na Y (hizi X na Y zina vikwazo so ....)
 
Cuba na Norte Korea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nalog off
 
Hakuna tatizo kwenye jeshi kuwa na siri na hakuna jeshi lisilo la siri.

Haimaanishi Rwanda kufundishwa na Israel + Russia kwamba ndo iwe vizuri. Unaweza fundishwa na South Korea ukawa mtabe kuliko wenzako wote. Sisi kufundishwa na nchi zenye vikwazo bado haina tatizo tena hizo zenye vikwazo ziko vizuri mno kijeshi maana huwa zina ukorofi mkubwa. Imagine Iran anaweza kushambulia vituo vya US unadhani angekuwa mzembe angetoa wapi jeuri.

Majeshi ya nchi kadhaa hasa Uganda na DRC yanakuwa na graduates hapa chuo cha Monduli hivyo nakuwa na imani na uwezo wetu.
 
fact, na kuna military technology transfer kati yenu na kichwa ngumu wa Asia so mpo vzr kiasi fran

Rest in Peace mzee maiga
 
Hapana,unajua kwamba gharama za technology ni ndogo zaidi kuliko kulisha wanajeshi wengi?
Inadhan ukiwa na tek olojia ndo hawatskuwa na njaa au matumbo? Nci zenye tek olojia kubwa bajeti yao imekuea ndogo au kubwa kuliko sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…