Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Kwa reputation yake nzuri ya biashara ni vema Tanesco ikauzwa kwa muwekezaji mkubwa kama Elon musk!!
NB: Nawaza kwa sauti! wazo halipingwi linajibiwa kwa hoja
- Suala la kukatika umeme itakua n hadith za abunuasi
- Atawalipa fidia waliopata hasara kisa umeme
- Ataongeza uwingi wa umeme had 100,000Megawat
NB: Nawaza kwa sauti! wazo halipingwi linajibiwa kwa hoja