Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
- #21
Mambo mengine hatuwezi kuwekeza hata kama hatuna teknolojia kubwa ya kisasa tutaenda nayo hivyohivyo. TANESCO ni shirika kubwa na nyeti kwa mambo ya ulinzi na usalama wa nchi.
kukaa giza na kulilia ulinzi na usalama kipi bora?
Pia hata nikikwambia uelezee Jinsi gan Sector ya umeme ni ulinzi na usalama nafahamu huwezi elezea!
Kati ya hivi kipi n zaidi ya ulinzi na usalama
1.Communication
Kati ya communication na Energy kipi n Ulinzi hapa.
Kuruhusu makampuni binafsi kuwa na access na data za taarifa ya kila mtu tanzania,viongozi na watu wa kawaida. Yaan makampuni yanajua hata viongozi wanaongea nn,wanapanga nn ,nini kinaendelea Hii sektor ya mawasiliano siyo nyeti kuliko tanesco??
Hapa mkuu hujanishawishi
2.Bandari
kama bandari leo hii wanataka wawape wawekezaji ambayo ndo kitu nyeti useme umeme ndo ulinzi na usalama?
3.Madini
Makampuni binafsi yapo huko
tuelezee hyo point yako