Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
CCM.... and take it away from usKwa reputation yake nzuri ya biashara ni vema Tanesco ikauzwa kwa muwekezaji mkubwa kama Elon musk!!
-Swala la kukatika umeme itakua n hadith za abunuasi
-Atawalipa fidia waliopata hasara kisa umeme
-Ataongeza uwingi wa umeme had 100,000Megawat
nView attachment 2757109
NB: Nawaza kwa sauti! wazo halipingwi linajibiwa kwa hoja
Noma sana
BWANA YESU ASIFIWE
Mh!BWANA YESU ASIFIWE
HamnaAu unapinga
Aje anunue urais
Stralink gharama ni kununua vifaa ila kulipia bill inalipika vyedi mno. 😀Starlink haijawahi kuwa rahisi ni yaleyale
Sasa kuliko kuuziwa bando bei kubwa na speed kobe, bora ije iyo StarLink.Starlink haijawahi kuwa rahisi ni yaleyale
Twitter inamshinda, ataweza Tanesco?Kwa reputation yake nzuri ya biashara ni vema Tanesco ikauzwa kwa muwekezaji mkubwa kama Elon musk!!
-Swala la kukatika umeme itakua n hadith za abunuasi
-Atawalipa fidia waliopata hasara kisa umeme
-Ataongeza uwingi wa umeme had 100,000Megawat
nView attachment 2757109
NB: Nawaza kwa sauti! wazo halipingwi linajibiwa kwa hoja
Twitter inamshinda, ataweza Tanesco?
Kwa huyu jamaa, wafanyakazi watakua wanalala kazini.. Sio poaKwa reputation yake nzuri ya biashara ni vema Tanesco ikauzwa kwa muwekezaji mkubwa kama Elon musk!!
-Swala la kukatika umeme itakua n hadith za abunuasi
-Atawalipa fidia waliopata hasara kisa umeme
-Ataongeza uwingi wa umeme had 100,000Megawat
nView attachment 2757109
NB: Nawaza kwa sauti! wazo halipingwi linajibiwa kwa hoja
Fuatilia mwenendo wa hiyo kampuni kibiashara na kiuendeshaji toka imenunuliwa na Elon uone.Umeona Twitter imemshinda??? Ebu fafanunua imemshinda kitu gan