Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee.
Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf.
Tutajieni majina ya kuachana nao.

Huu mtandao wamehamia vichaa na hawatauacha salama huu mtandao. Sahv ni kupoteza data zako kuja humu, kumejaa uzushi, uwongo, matusi, post zisizo na utu lakini they are entertained