Mkuu huyu ana mipaka yake ya kazi. Hawezi kujipangia kazi mwenyewe bila maelekezo kutoka kwa bosi wake ambaye ni Rais.VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku...
Yaani huyo jamaa kwa sasa kazi yake ni uzinduzi tu wa hapa na pale, na pia kuwa mgeni rasmi kwenye makongamano mbalimbali. Inawezekana hata vyeti vyake kwa sasa amevifungia kabatini.VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku...
Hivyo sio huyu aliyetuingiza kwenye mikopo ya kibiashara akiwa na Jiwe huku wakidai wanajenga kwa fedha za ndani?VP Mpango tuna kuhitaji kusimama na kumsaidia Raisi kwenye masuala ya mikopo ya nchi na wizara ya fedha badala ya kukaa kinyonge nyonge kila siku...