Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

kumbuka wanafamilia ndo wadau wako, hivo mke asikutoe kwa wadau wako
kumbuka tunaishi socially
 
Huo ni uhuni kwamba mwanamke awe mali ya familia ya Mume and this is also a recent thing since private property came na Monotheism because zamani when we lived in sparsely scattered pagan societies Most children belonged to the women coz she gives birth and Men weren't expected as much to remain and if they did iyo family name didn't exist; kila mtu na jina lake moja even kuna jamii bado Africa, Indonesia hata Afghanistan bado wana jina moja tu. Ilivyokuja Nation state, Ubepari and formalized mfume dume it meant men pekee ndo worked and earned while women stayed home so ili iwe rahisi children to inherit women were classed kwa mume tu and not her family of birth pia iyo insistence watoto wachukue majina ya baba na great great Babu it was to publicly declare mtoto wa nan coz zaman hawakujua DNA so walikuwa wanaogopa women wanazaa and men couldn't know who the father is that's why wakawakataza women kuwa na more than one man while wao men wanatoboa tu. Ila hii ya women taking their husband's name is even absurd and mostly Western even Muslims hawafanyi Ivi and many wanaanza kuwaiga hao Wamarekani na Ulaya Mrs Obama cjui Mrs Clinton. But Spain and Latin America huwaga wanachanganya majina ya ukoo ya mama na baba while jamii zingine wanachukua majina ya kwanza ya baba na mama na hawana common family name na wengine ndo one name tu
 
📌📌
 
Kwamba nikitaka kwenda salimia home hadi mume anipe barua ya uthibitisho?? Weee.basi raha
 
Kujihesabia part ya ukoo wa mtu haina kabila inategemea na mahusiano yaliyopo baina ya hao watu.....mama mkwe hakupendi mawifi hawakuelewi utaenda kujihesabia huko ili iwe nini sasa???
#nikifankazikwe kenya😁
Kwa hiyo Evelyn, ukifa utakwenda kuzikwa huko kwenu Kenya. Hutaki kabisa kuzikwa nchi alikozaliwa mumeo?
 
Hauna ruhusa ya kwenda kwenu pasipo mimi kutoa taarifa...🤨
Na ikitokea umejiamulia tu kwamba unaenda kwenu, nimetoka zangu shamba nakuta haupo....🤔 basi hapo napaswa nijiongeze tu mkuu..😎
Ohh..mie nilijua natakiwa kukuambia ushimen naplan kwenda nyumbani tarehe fulani ...kumbe hadi hayo!raha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…