Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nafanya vyote mke anavyotakiwa kufanya Kwa mume lakin bado naambiwa simtii.Ndo nilikua nataka nieleweshwe labda Kuna maana nyingne ya utii
 
Ni kweli Ila Kuna type ya watu ambao automatically ... Mtaburuzana tu..ili maisha yaende.. .. !

Umtii asijue ..akijua anakuchukulia Kama fala!
 
Tatizo sio kuwa sehemu ya ukoo wa mume ila swala ni je huo ukoo wenyewe wanakuona kama part of them?
Mana kuna ndugu wa mume kuanzia mama mkwe adi walobaki ni hatari tupu
 
Tatizo sio kuwa sehemu ya ukoo wa mume ila swala ni je huo ukoo wenyewe wanakuona kama part of them?
Mana kuna ndugu wa mume kuanzia mama mkwe adi walobaki ni hatari tupu
Kuna familia nyingne ukienda kusalimia Kwa wakwe baada ya salamu baba,mama na mtoto wao wanaingia chumban kuongea wewe unaachwa hapo sitting room unashangaa tu.Je familia kama hiyo na wewe utajihesabia ni party ya hiyo family?
 
Adanteni nyote kwa kutenga muda wenu adimu kushare ndani uzi huu hakika imekuwa jambo jema sana
 
Without a doubt ni majinamizi ya talaka "Mademu wa Kichagga na Kipare."
 
Unauliza jibu, Wapare na Wachaga
 
Wote huo ni unafiki tu! Mke au mume hawezi kuwa ndugu yako. Wanao oana ndio wanakuwa wameingia mkataba wa ndoa- mkataba unaweza kuvunjika wakati wowote , sasa undugu unatoka wapi? Kwahiyo kihalisia hakuna kabila linalomzidi mwingine, ila yanaweza kuzidiana kwenye kucheza huo mchezo wa maigizo. Siku hizi maigizo yapo mengi sana!
 
Wanawake toka matrilineal au wanaofuata ukoo wa mama ndiyo hawajihesabu kama sehemu ya familia ya mume. Haya makabila ni mengi TZ, ila sasa hivi naona hawafuati tena huu utamaduni. Ili huu utamaduni kudumu ni lazima waone wao kwa wao, wakitoka nje tu, wanafuata mila ya mme.
 
Kauli mbiu yenu inachukulia kama mke ndio shida katika ndoa. Chukulia mfano mume amefariki, mke yuko nyumbani kwa familia ya mumewe msibani, wameshazika, anaambiwa, tunachukua hiki na kile cha kaka yetu, ilhali kuna mtoto, je hapo bado atajihesabia ni mmoja wa familia ya mumewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…