Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu wa maisha ya kati/chini - kati ya Dar, Kibaha, Mlandizi, & Bagamoyo?

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Wazoefu wa hii miji/maeneo.
Je, ni wapi kunamfaa kuishi mtu mwenye maisha ya kati/chini - kati ya...
A. DAR ES SALAAM,
B. KIBAHA
C. MLANDIZI
D. BAGAMOYO.

Right Marker
Dar es salaam.
 
Kupanga ni kuchagua! Kote huko mtu wa kipato cha chini anaweza kuishi... Ni kutokana tu na jinsi atakavyoamua kuyaendesha maisha yake..

Mfano: me nko zangu tabata natumia buku jero kwa siku na maisha yanaenda.. Wakat huko mlandizo mtu anatumia mpk elfu saba per day.
 
Comment yako ni nzuri sana, imeshiba. Itawasaidia watu wengi.
 
Back
Top Bottom