Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,303
Reaction score
6,123
Hello bosses and roses...

Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata.

Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
 
Weka namba ya simu sasa wadau wakutafute. Ukiwapa hao watu nijulishe nami nije kuonja chakula chao.
 
Nicheck pm nikuconnect na mtu tabata pale hope utafurahia huduma
 
Back
Top Bottom