Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii.
Ingekuwa ya Mbowe watu wangesema kuna mazingaombwe.
Tayari wameshaikataa tume isiyohuru iliyojaa makada wa CCM inayotuhumiwa na wqnachi kufisadi mali za umma huku familia za makada wake wakinufaika na ufisadi.
Je, hii ni dalili kuwa CHADEMA wanaunga mkono maandamano ya kuig'oa CCM?