Mbona mwenyewe unayaunga mkoni,je wengine ni nani wawaze vinginevyo?Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii.
Ingekuwa ya Mbowe watu wangesema kuna mazingaombwe.
Tayari wameshaikataa tume isiyohuru iliyojaa makada wa CCM inayotuhumiwa na wqnachi kufisadi mali za umma huku familia za makada wake wakinufaika na ufisadi.
Je, hii ni dalili kuwa CHADEMA wanaunga mkono maandamano ya kuig'oa CCM?
Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii.

Hili nalo linahitaji ushahidi yani nikupe ushahidi kwamba Mange na Hilda wanaratibu maamdamano??Weka ushahidi. Wao wamepinga tume ya Mama
Achana na CHADEMA kwa sasa...Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii.