Tumia JK wall putty,
Inatumika ndani na nje. Unachanya na maji tu na haigandi haraka kama powder au white cement. Haiitaji uchanganye na Emulsion paint kama hizo zingine. Skim coat zako mbili acha ikauke piga msasa namba 120 thank me later.
Misasa (sand paper) Ina number kutegemeana na smoothness ya ukuta wako au surface yako unayotaka kupaka rangi, kwa ukuta ambao haujaskimiwa vizuri uko rough Sana huwa tunatumia misasa yenye namba ndogo i.e namba 60 au namba 80 hiyo tunaita misasa mikali YAni inafaa kwenye rough surface, but kama fundi wako wa kuskim ni mzuri na surface ni nzuri tunatumia kuanzia msasa namba 100 au 120 au ukitaka smoothness ya kioo tumia 150. Hizo namba ni grade tu za msasa kutegemeana na ukuta wako. Nenda duka la vifaa vya ujenzi kkoo imejaa kibao na wanapima kwa mita buku nadhan.Asante sana mkuu, nilikuwa nasubiri ushauri huu nifanye maamuzi... nasema asante tena na tena.
Pamoja na majibu mazuri kwenye swali la msingi, nina swali la nyongeza:
Msasa namba 120! Ni nini hii?
Misasa (sand paper) Ina number kutegemeana na smoothness ya ukuta wako au surface yako unayotaka kupaka rangi, kwa ukuta ambao haujaskimiwa vizuri uko rough Sana huwa tunatumia misasa yenye namba ndogo i.e namba 60 au namba 80 hiyo tunaita misasa mikali YAni inafaa kwenye rough surface, but kama fundi wako wa kuskim ni mzuri na surface ni nzuri tunatumia kuanzia msasa namba 100 au 120 au ukitaka smoothness ya kioo tumia 150. Hizo namba ni grade tu za msasa kutegemeana na ukuta wako. Nenda duka la vida vya ujenzi kkoo imejaa kibao na wanapima kwa mita buku nadhan.
Mkuu wewe umekulia wapi hata msasa hujui ??, acha mzaha basi !!Asante sana mkuu, nilikuwa nasubiri ushauri huu nifanye maamuzi... nasema asante tena na tena.
Pamoja na majibu mazuri kwenye swali la msingi, nina swali la nyongeza:
Msasa namba 120! Ni nini hii?
WALLPUTTY ni nyingine sio JK PUTTY?======
Mrejesho:
Nilitumia WALLPUTTY kampuni ya ANDIKA, Ee bwana wee! Kazi imekuwa tamu kishenzi, mafundi wameskimu nje ndani kwa ustadi mkubwa.
Hapa bado rangi tu.[emoji847]
======
Mrejesho:
Nilitumia WALLPUTTY kampuni ya ANDIKA, Ee bwana wee! Kazi imekuwa tamu kishenzi, mafundi wameskimu nje ndani kwa ustadi mkubwa.
Hapa bado rangi tu.[emoji847]
Sio ukutani TU mkuu hata kwenye miguu yenye mipasuko MIKUBWA aka kenya au machachaNaijua misasa mkuu, ila ajabu sikuwahi kujua hizo namba…. pia sikuwahi kujua kama inatumika kwenye ukuta nilidhani mbao tu.[emoji16]
Elimu haina mwisho.
Asante MkuuJK Putty ni sawa, zinapatikana popote mkuu…. hii project yangu ipo mkoani na mafundi wapo huku huku.