Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei yake kwa mfuko moja ni kiasi gani mkuu?Jk putty inapatikana kirahisi kwenye hardware
Kk nsaidie no zamafundi wako ,0621977257 nicheki======
Mrejesho:
Nilitumia WALLPUTTY kampuni ya ANDIKA, Ee bwana wee! Kazi imekuwa tamu kishenzi, mafundi wameskimu nje ndani kwa ustadi mkubwa.
Hapa bado rangi tu.[emoji847]
Kk ahsant kwa mchango wako naomb tutafutane 0621977257Tumia JK wall putty,
Inatumika ndani na nje. Unachanya na maji tu na haigandi haraka kama powder au white cement. Haiitaji uchanganye na Emulsion paint kama hizo zingine. Skim coat zako mbili acha ikauke piga msasa namba 120 thank me later.
Nahitaji hii Silkcoat kwa ajili ya urembo wa dari wapi nitaipata?Wakuu, tayari zoezi la skimming limeisha vema… sasa nipo kwenye hatua ya rangi.
Naendelea kujifunza bure hapa JF, kwa faida ya wengi.
Sasa naomba kujua kuhusu kitu kinaitwa SILKCOAT, ni kama RANGI ila ni chenga chenga fulani hivi.
Je, inafaa kutumika kwa ukuta mzima nje ndani au ni nakshi ya vipande tu?
asante kaka
silkcoat ni kampuni Ambayo ina bidhaa mbalimbaliNahitaji hii Silkcoat kwa ajili ya urembo wa dari wapi nitaipata?
silkcoat ni kampuni Ambayo ina bidhaa mbalimbali
kama unahitaji kitu kwa ajili ya dari nikushauriutumie silk plaster auwanaita pamba
hii katika kampuni yetu tuna ujazo wa 1.5kg na inauzwa 50000
hiyo ya chenga/mchanga anazungumzia mineral stones au drewa inakaa katika ujazo wa ndoo ya 25kg na ni 90,000 inapendeza zaidi ukutani nje au ndani inafaa
Hapo hapo kwenye drewa, hiyo ndoo ya 25kg inatosha SQM ngapi?
esilkcoat ni kampuni Ambayo ina bidhaa mbalimbali
kama unahitaji kitu kwa ajili ya dari nikushauriutumie silk plaster auwanaita pamba
hii katika kampuni yetu tuna ujazo wa 1.5kg na inauzwa 50000
hiyo ya chenga/mchanga anazungumzia mineral stones au drewa inakaa katika ujazo wa ndoo ya 25kg na ni 90,000 inapendeza zaidi ukutani nje au ndani inafaa
Naomba kujua mfuko mmoja ni kg ngapi na unapiga square meter ngapi?Tumia JK wall putty,
Inatumika ndani na nje. Unachanya na maji tu na haigandi haraka kama powder au white cement. Haiitaji uchanganye na Emulsion paint kama hizo zingine. Skim coat zako mbili acha ikauke piga msasa namba 120 thank me later.
Ahsante kwa mwongozo wako,. hiyo kampuni yenu ni kampuni gani? naomba mawasiliano
e
pengine hajajenga ndo maana hajuhiMkuu wewe umekulia wapi hata msasa hujui ??, acha mzaha basi !!