Je, ni White Cement, Wall Putty au Gypsum Powder kwenye skimming ndani ya nyumba?

======

Mrejesho:

Nilitumia WALLPUTTY kampuni ya ANDIKA, Ee bwana wee! Kazi imekuwa tamu kishenzi, mafundi wameskimu nje ndani kwa ustadi mkubwa.

Hapa bado rangi tu.[emoji847]
Kk nsaidie no zamafundi wako ,0621977257 nicheki
 
Tumia JK wall putty,
Inatumika ndani na nje. Unachanya na maji tu na haigandi haraka kama powder au white cement. Haiitaji uchanganye na Emulsion paint kama hizo zingine. Skim coat zako mbili acha ikauke piga msasa namba 120 thank me later.
Kk ahsant kwa mchango wako naomb tutafutane 0621977257
 
Nahitaji hii Silkcoat kwa ajili ya urembo wa dari wapi nitaipata?
 
Nahitaji hii Silkcoat kwa ajili ya urembo wa dari wapi nitaipata?
silkcoat ni kampuni Ambayo ina bidhaa mbalimbali
kama unahitaji kitu kwa ajili ya dari nikushauriutumie silk plaster auwanaita pamba
hii katika kampuni yetu tuna ujazo wa 1.5kg na inauzwa 50000

hiyo ya chenga/mchanga anazungumzia mineral stones au drewa inakaa katika ujazo wa ndoo ya 25kg na ni 90,000 inapendeza zaidi ukutani nje au ndani inafaa
 
Hapo hapo kwenye drewa, hiyo ndoo ya 25kg inatosha SQM ngapi?
 
Ahsante kwa mwongozo wako,. hiyo kampuni yenu ni kampuni gani? naomba mawasiliano
e
 
Tumia JK wall putty,
Inatumika ndani na nje. Unachanya na maji tu na haigandi haraka kama powder au white cement. Haiitaji uchanganye na Emulsion paint kama hizo zingine. Skim coat zako mbili acha ikauke piga msasa namba 120 thank me later.
Naomba kujua mfuko mmoja ni kg ngapi na unapiga square meter ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…