Mungu ni wa watu wote bila kujalisha kama ni Wakristo,Waislamu au Dini yoyote (Dini za Asili).Usipotoshe watu maana Mungu habagui waja wake.Wewe kwanza siyo mkristo toa huo utopolo hapa
Mungu yupo na Lisu huyu mwinginr Ni wakala wa luciferNi wape siri moja kati ya Magufuli na Makonda dhambi inayowatafuna watu wawili hawa?
Kifupi nikua alietegemewa kufaa Bwana Mungu wetu hakutaka afe na wingi wa risasi kama cheche za welding lakini Mungu hakutaka afe.
Na tu kumbuka yakua kilichomuokoa Tundu Lissu sio huduma za madaktari wazuri wa Belgium, No.
Ni nguvu ya Bwana Mungu wetu kutaka huyu ndugu asife na Tukumbuke Bwana hufufua maiti na kumpa uhai, huo ni uwezo na nguvu za bwana na Tundu imekua hivyo bwana hakutaka afe.
Na ndio ukaona alie pewa kazi hio ya yakuongoza mauaji hakukamilisha vizuri kazi hio na sasa bosi wake anamuhukumu kwa kutokukamilisha kazi.
Lakini Tukumbuke alitakalo Bwana lisiwe basi halitokua na hasa zambi kubwa kama hii ya Lissu kujitoa muhanga wa kutetea haki na hii ni kazi ya wachunga wa Bwana na ndio lissu a akapata kinga kutoka kwa Bwana na sio Madatari wa Belgium ni nguvu ya Bwana.
Sasa Watanzania tuzinduke kua Mchamungu Tundu Lissu ni chagua la Mungu na Mungu katuletea fundisho kwa wenye upeo wa kuelewa kua nguvu za Bwana nikubwa kuliko matendo maovu ya Shetani.
Tumsifu Bwana Mungu wetu.
Tukumbuke kuwa Tembo ana nguvu za wanaumme 8 walioshiba, lakini risasi 1 tu in amua, lakini Lissu risasi 16 zimeingia mwilini kwake kapona na yuko hai anaendelea na shuhuli zake, Tundu ni mtu wapekee kwa Bwana Mungu wetu na huu ni mtehani tumeletewa kwetu.
Bwana Mungu wetu anatupima ama tuwe upande wa Shetani na maovu yake au tuwe upande wa Bwana tuokoke kwa maisha ya milele na upendo wa Bwana.
TUMSIFU BWANA MUNGU WETU
Dogo kuwa na adabuWewe kwanza siyo mkristo toa huo utopolo hapa
Lissu alikaribia kufa kwa ajili ya ACACIA.Ni wape siri moja kati ya Magufuli na Makonda dhambi inayowatafuna watu wawili hawa?
Kifupi nikua alietegemewa kufaa Bwana Mungu wetu hakutaka afe na wingi wa risasi kama cheche za welding lakini Mungu hakutaka afe.
Na tu kumbuka yakua kilichomuokoa Tundu Lissu sio huduma za madaktari wazuri wa Belgium, No.
Ni nguvu ya Bwana Mungu wetu kutaka huyu ndugu asife na Tukumbuke Bwana hufufua maiti na kumpa uhai, huo ni uwezo na nguvu za bwana na Tundu imekua hivyo bwana hakutaka afe.
Na ndio ukaona alie pewa kazi hio ya yakuongoza mauaji hakukamilisha vizuri kazi hio na sasa bosi wake anamuhukumu kwa kutokukamilisha kazi.
Lakini Tukumbuke alitakalo Bwana lisiwe basi halitokua na hasa zambi kubwa kama hii ya Lissu kujitoa muhanga wa kutetea haki na hii ni kazi ya wachunga wa Bwana na ndio lissu a akapata kinga kutoka kwa Bwana na sio Madatari wa Belgium ni nguvu ya Bwana.
Sasa Watanzania tuzinduke kua Mchamungu Tundu Lissu ni chagua la Mungu na Mungu katuletea fundisho kwa wenye upeo wa kuelewa kua nguvu za Bwana nikubwa kuliko matendo maovu ya Shetani.
Tumsifu Bwana Mungu wetu.
Tukumbuke kuwa Tembo ana nguvu za wanaumme 8 walioshiba, lakini risasi 1 tu in amua, lakini Lissu risasi 16 zimeingia mwilini kwake kapona na yuko hai anaendelea na shuhuli zake, Tundu ni mtu wapekee kwa Bwana Mungu wetu na huu ni mtehani tumeletewa kwetu.
Bwana Mungu wetu anatupima ama tuwe upande wa Shetani na maovu yake au tuwe upande wa Bwana tuokoke kwa maisha ya milele na upendo wa Bwana.
TUMSIFU BWANA MUNGU WETU
Ndiyo wakala wa wauaji nskuona katika ubora wakoWewe kwanza siyo mkristo toa huo utopolo hapa