Gudboy
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 867
- 82
Wadau wa JF mimi ndugu yenu nina katatizo kidogo kwenye mahusiano na binti mmoja anasoma mzumbe university. Huyu mtoto ni mkali kweli kweli, lakini tatizo lake anaomba sana pesa, voucher na vijizawadi vidogo vidogo. Mimi hii kasumba ya kuombwa ombwa sikuzoea na wote nilokua nao kabla hawana tabia ya kuomba omba hadi niwape mwenyewe. Huyu bwana anaomba si mchezo. Mbaya zaidi ukimtumia hiyo voucher hata hakupigii na utashanga kesho tena anakubip. nimekua nikijiuliza sasa hii credit nayo mtumia anawasiliana na nani?
Mbaya zaidi nikimwambia njoo basi nami niweze kuliwazika japo kwa kuwa karibu nae, utasikia visingizio kibao, mara nina mitihani, ohh nimefunga chuo lakini naenda kwanza nyumbani, sasa simuelewi kabisa, na pia sidhani kama ananipenda maana nimemmega mara moja tu.
jamani naombeni ushauri wenu wa dhati maana nafikiria kuachana nae na kutafuta anayejua kumlea mwanaume kijana kama mimi bila ya kua na tamaa tamaa.
natanguliza shukrani zangu wadau kwa kushiriki kwenu kunipa ushauri