Je niachane nae?



mhhh hebu ni pm basi.......kumbe mmejaa tele?????
 
Kijana nakupa pole kumbe wewe mwenyewe mwananfunzi,kwa hiyo pesa ya matumizi unayopewa na wazazi ndo mnagawana na girl friend wako,na inavyoonekana wewe wakati unamtokezea ulimwonyesha wewe ni matawi sana, na inawezekana ulikua unajisifia sana ndo maana naye anakutumia effectively,wala usilalamike ni wewe mwenyewe ulimzoesha kwa hiyo kama unaona uzalendo unakushinda waachie wakina Liyumba (Chrispin) and his Co.
 
itabidi na wewe utafute madent wa kusomesha kwanza IFM UDSM,UDOM ,wamejaa tele
na afadhali hawa wasio na familia wasomeshe, lakini unakuta kuna jitu lina mke na watoto watano wote wanaenda Kayumba primary na st mtakuja, wakati lenyewe linalipa ada ya nyumba ndogo IFM, udsm na cbe, vocha za kumwaga, usafiri, yani full matunzo. yaani sometimes i dont get it.
 
DAH mKUU achana kabisa na kitu inaitwa Denti baba awe wa secondary, chuo wote ni noma tupu, hawa wanakuwa opportunist sana, kutokana na kuwa ktk jamii ya watu tofauti, mashindano ni kila kukicha, wengine nyumbani kwao wanajiweza, wale wasiojiweza lile gap la kipato litafidiwa kutoka kwa ma sugar dady na boyfriends, kweli wanakuwa na uhusiano na watu wengi so ukijifanya wewe ndo mwenye mali mkuu umeumia. Tena huyo yupo Morogoro na wewe upo sijui DAR hapo mwana kubali tu yaishe nadhani kwa jinsi ulivyoelezea huyo demu alikukubali ili aongeze wigo wa mapato yake pindi anapochacha alternatives ziwe nyingi ndo maana unaona alikupa mara moja kukuweka kundini sasa kinachofuata ni maumivu ya kupigwa virungu kila kukicha, mara pesa mara Voucher, na uiona unatuma vocha halafu hutumiwi hata sms moja ujue kuna mchizi mwenye mali na wewe ni kitega uchumi, hiyo ndo hali halisi siku hizi , ukikutana na demu wa chuo km uko njema mazee hukataliwi, hawakatai these days ila financial position yako ndo itakuweka kwenye category ipi, sasa na wewe ni denti km yeye hahaha mkuu hapo jitoe mapemaaaa najua pale Moro walimu wa SUA, IDM, wafanyakazi wa ma BEnki, TRA lzm watakuwa wanajimegea tokana na kipato chao.
 
😎
Mimi simdanganyi ila hawa watoto sometimes wanapenda mambo ya kikubwa yasiyowahusu.Kuhusu swala la kumegana ,sisi enzi za mwalimu tulikuwa hatufanyi hayo.Ni masomo tu.si unaona maadili yanavyobadilika siku hizi?


aah acheni nicheke tu,nyie si ndio mlikuwa mnacheza kibabababa na we ndo ulikuwa unakuwa mama na walikuw wanakudo kishenzi,alafu sasa unatuambia
ENZI ZA MWALIMU
acha uongo.
 
huu ushauri wako nimeupenda sana na nitaufanyia kazi. Tena sasa hivi nimemchunia kabisa akibip nami sipigi akisema sijui zile meseji zao za bure za kuomba pesa akituma naifutilia mbali, mabinti mbona wapo wengi sana tena wanaheshima ile mbaya. Nashukuru sana mdada
 
Gud boy, mie sina cha kukushauri, ila shukuru hujaombwa hela za salun au kuweka gari mafuta kuna watu wanahayo majukumu, unaweka gari mafuta na hata lifti huambulii. Ngoja nikupe orodha fupi.

Man #1 - vocha na zawadi ndogo ndogo
Man #2 - Pocket money/matumizi mbali mbali
Man #3 - Kuweka gari mafuta na kulipeleka garage
Man #4 - Wakutoka nae outing
Man #5 - Wakula nae tunda

Sikuvunji moyo lakini kuna mtu the other side anafaidi hizo vocha unazotuma
 
Gud boy, mie sina cha kukushauri, ila shukuru hujaombwa hela za salun au kuweka gari mafuta kuna watu wanahayo majukumu, unaweka gari mafuta na hata lifti huambulii. Ngoja nikupe orodha fupi.

Man #1 - vocha na zawadi ndogo ndogo
Man #2 - Pocket money/matumizi mbali mbali
Man #3 - Kuweka gari mafuta na kulipeleka garage
Man #4 - Wakutoka nae outing
Man #5 - Wakula nae tunda

Sikuvunji moyo lakini kuna mtu the other side anafaidi hizo vocha unazotuma
 
Si kwasababu mnawapa? au? haidawahi kunikuta ila tabia ya kuomba omba inakera mbaya yani!
wewe jaribu kutafuta demu wa chuo halafu utakuja kuomba ushauri hapa jinsi kitakavyokufanya, maana atakugeuza wewe ndio mzazi wake, huku anapata mkopo, mzazi wake anamtumia, lakini haviridhiki vinapenda maisha makubwa sana ndio maana vinagawa nyuchi kwa pesa
 
Dogo huyu binti wewe humuwezi hebu niPM utuachie sisi mapedeshee tumgalamie
umenichekesha kweli, vp yule mke wa mtu aliyekutongoza ulishammega au ulisepa kaka
 
yaani huyu binti ni mchunaji sana, nilikua nampenda kiukweli ukweli lakini the way anvyobehave nahisi siku nikifulia atagawa uroda kwa masela au hata boss ili mradi apewe cash, ila sasa naanza kusepa kimtindo
 

Una bahati sana LF. Mi nipatie hiyo #5.
 
umenichekesha kweli, vp yule mke wa mtu aliyekutongoza ulishammega au ulisepa kaka

Hahahaha dah unakumbukumbu wewe huyu bana bado ananifuatilia lakini mimi naogopa kumega mali ya mtu.
 

Mama Msindima nakupa masaa sita ya kunitaka radhi. Lol! Liyumba? Si afadhali ungenifananisha na Athumani Ali Maumba?
 
Gudboy huyo Girl wako kwenye swala la kuomba Vocha harafu hakupigii then anakuka kuomba tena hilo ni Tatizo ....!! kwingine mie sisemi wenzangu wameshaongea yooote
nashukuru sana FL1 kwa ushauri mzuri
 
hilo nakubaliana nalo kabisa halafu huyo mtoto jinsi alivyokua mzuri weee hatari. Halafu sasa nikienda room kwake wale madent wenzake wanataka namba yangu yeye anakataa nisiwape, sasa kuna mshikaji akaniambia kuwa huwa wanaibiana mabwana na yeye alikua akipenda sana kuniambia niende ili auze sura nami, sasa wale wenzake wanaona wivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…