Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Kwa hiyo unakwea pipa kwenda kwa mume wa mtu kukiss then nothing?

Waache wote ukue kidogo mdogo wangu

Hakuna anayekupenda kweli hapo

Huyo Frank kashaona hueleweki

Salim mume wa mtu

Alex mnafanana akili

Achana nao wote jipe muda hata mwaka dont rush into relationship ndo shida zako zinapoanzia

Tafuta kitu cha kukuweka busy, soma vitabu, movie, kwaya nk
 
Aisee sijajua Kama inawezekana kukaa single yaani Ka simu kangu kasiingize hata Ka sms cha babe umekula [emoji3][emoji3]

Ngoja nijaribu
 
Hahahahahahahahahahhaha

Hapo ndo tatizo linapoanzia

Inawezekana kabisa kuwa na circle kuwa ya marafiki na jiweke busy na kazi au biashara au shule
 
Back
Top Bottom