Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

Hahahahahahahahahahhaha


Hapo ndo tatizo linapoanzia


Inawezekana kabisa kuwa na circle kuwa ya marafiki na jiweke busy na kazi au biashara au shule

Nikwambie tu nipo bize sanaaa.. ila mda kama huu unakuta nimepumzika ndo nakumbuka na mimi natakiwa niwe na mahusiano serous ila ndo kama hivo
 
Huelewi unataka nini.

Hapo hakuna muoaji, wakishakula wanasepa.

Sio kwamba nataka sana kuolewa nao… najaribu kutafuta mtu wa kukaa nae angalau mda mrefu walau tu enjoy mambo ya ndoa yatajiset yenyewe ila kwasasa nataka mtu ambae nitakula nae maisha [emoji1787][emoji1787]
 
Umri bado mdogo; ila kuwa karibu na unayempenda zaidi; staili za popo kanyea mbingu haziitaji ulokole
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Nyie mbona mnamisururu mimi kumiliki wawili tu🤌🤌
Niongeze na mm kwenye list, hakika utapata bonge la bwana, utamsahau alex, utamblock frank na nitakuamuru umtukane salim huku nikiwa nakupiga tako za nguvu
 
Unamaanisha kwamba wewe u bikra??
Jibu haraka tafadhali
 
Nimecheka mnooooo!
Na vile bado bikra atulie tu, otherwise atajikuta anapoteza thamani ya bikra yake na kuishia kuzalishwa bila ramani!
Ataona bora angefurahia maisha yake tangu kitambo!
 
Wanaume huwa na code zetu na kuzitoa hapa italeta shida lakini nabaki kujiuliza Frank,Alex na Salim wajinga nyinyi kwanini hamjaila hii mbususu mpaka leo???😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…