Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

great dream

Member
Joined
May 15, 2024
Posts
8
Reaction score
14
Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
 
Kwa sasa hakuna program yenye fursa za ajira za uhakika kwa mtu asiye na connection.

Program za afya, ualimu na jeshi zilikua za uhakika ila kwa sasa tunatembeza wote CV

Cha msingi katika hizo program wanazokushauri, ukipata fursa kapige shule seriously, tafuta connection na jiandae kufanya interview za kutosha tu.

Ukiweza kujiongeza kufanya biashara huku upo chuo itakuwa good japo ni ngumu kubalance masomo na biashara.

Ukweli ni kwamba wahitimu wa kila fani wapo wengi mno kuliko mahitaji kama unavyoona kwa sasa asilimia zaidi ya 95 ya wanafunzi wa form six wanafaulu kwenda university
 
Kwa hali ilivyo sasa soko la ajira lipo saturated kwa kila program kwa hiyo soma program ambayo ina uwanja mpana ila pia uipende na kuwa na mawazo ya kujiajiri zaidi.
 
HR NA INTERNATIONAL RELATIONS
UKIWEZA KASOME OPEN UNIVERSITY OF DAR ESALAAM
Wazo zuri sana ila kama katoka straight from school Kwa elimu ya Open University inaweza mpa shida Kwa sababu elimu ya pale unahitaji uwe committed mnooo na nidhamu ya muda ndo rasilimali mama Kwa sababu hakuna muingiliano wa Moja Kwa Moja wa mwanafunzi na mwalimu isipokua Kwa baadhi ya kozi pekee
 
Anatakiwa awe msomaji,
 
Kwa sasa hakuna program yenye fursa za ajira za uhakika kwa mtu asiye na connection.

Program za afya, ualimu na jeshi zilikua za uhakika ila kwa sasa tunatembeza wote CV

Cha msingi katika hizo program wanazokushauri, ukipata fursa kapige shule seriously, tafuta connection na jiandae kufanya interview za kutosha tu.

Ukiweza kujiongeza kufanya biashara huku upo chuo itakuwa good japo ni ngumu kubalance masomo na biashara.

Ukweli ni kwamba wahitimu wa kila fani wapo wengi mno kuliko mahitaji kama unavyoona kwa sasa asilimia zaidi ya 95 ya wanafunzi wa form six wanafaulu kwenda university
asante sana
 
Back
Top Bottom