Habari wakuu
Logitech g29 bei yake inakaribia kua mara mbili ya hii pxn v10 maana kwenye box la logitech g29 kuna wheel na pedal tu ukitata kirungu inabidi uongeze kama 250k lakini pxn v10 ndani ya box lake kuna kilakitu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.