Je nichukue wheel ya pxn v10 baada ya kushidwa bei wheel ya logitech g29

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
760
Reaction score
1,875
Habari wakuu
Logitech g29 bei yake inakaribia kua mara mbili ya hii pxn v10 maana kwenye box la logitech g29 kuna wheel na pedal tu ukitata kirungu inabidi uongeze kama 250k lakini pxn v10 ndani ya box lake kuna kilakitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…