Je nifanyaje kupata sponsorship in MBA nje ya Nchi?

Je nifanyaje kupata sponsorship in MBA nje ya Nchi?

MALOLO

Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
15
Reaction score
2
Mimi ni mfanyakazi serikalini ni mwalimu, nina Degree ya BBA nifanyaje kupata sponsorship kusoma MBA Nje ya Nchi.
 
Mimi ni mfanyakazi serikalini ni mwlim nina Degr ya BBA nifanyaje kupta sponsorship kusoma MBA Nje ya nchi

Ndugu km kweli unafanya kazi serikalini sasa inakuwaje unataka sponsor wa kukulipia MBA? Amka usingizini ndugu yangu. Mim nilikuwa nafanya kazi ya kimshahara kidogo bt nikaweka nia ya kufanya masters na hadi sasa nimefanya masters frm coventry university and am lecturing in one of the government academic institutes in Tanzania. Sina nia ya kujisifu bt nataka tu uamke kuwa u can still sponsor urself.
Pia khs hizo scholarship za nje zipo bt criteria kubwa yw kipata ni ur outstanding performance coz the competition is very stiff
 
Back
Top Bottom