CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D'Nisaidieni nikubwa na hili tatizo la majina katika
Huyu nae anataka kwenda kupiga bachelor degree kabisa?CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
Nina Namba na ndio nilivyo fungulia account hiyo, tofauti ipo kwenye cheti cha kuzaliwa na vya academic na nina affidavits ila sijui jinsi ykuitumiaKadi ya Nida Unayo
Mbona ninahisi wewe ndo umefanya Blunder kwanini Hukubadilisha Cheti cha kuzaliwa kutoka Rita na Unaweza pia Kubadilisha NIDA majina yakasomana yote vyote vinawezekana ila kwa Muda huu ni mchache kwanini hukuanza Zamani processNina Namba na ndio nilivyo fungulia account hiyo, tofauti ipo kwenye cheti cha kuzaliwa na vya academic na nina affidavits ila sijui jinsi ykuitumia
Tatizo hakupatikana hata wa kunishaauri juu ya jambolanguMbona ninahisi wewe ndo umefanya Blunder kwanini Hukubadilisha Cheti cha kuzaliwa kutoka Rita na Unaweza pia Kubadilisha NIDA majina yakasomana yote vyote vinawezekana ila kwa Muda huu ni mchache kwanini hukuanza Zamani process
Lakini ninaa wiki 4 sijui kama nitafanikishaMbona ninahisi wewe ndo umefanya Blunder kwanini Hukubadilisha Cheti cha kuzaliwa kutoka Rita na Unaweza pia Kubadilisha NIDA majina yakasomana yote vyote vinawezekana ila kwa Muda huu ni mchache kwanini hukuanza Zamani process
Wiki nne zinatoshaLakini ninaa wiki 4 sijui kama nitafanikisha