Je, nifanyaje?

Je, nifanyaje?

CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' E/D/KIISLAMU - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'D'
Huyu nae anataka kwenda kupiga bachelor degree kabisa?
 
Nina Namba na ndio nilivyo fungulia account hiyo, tofauti ipo kwenye cheti cha kuzaliwa na vya academic na nina affidavits ila sijui jinsi ykuitumia
Mbona ninahisi wewe ndo umefanya Blunder kwanini Hukubadilisha Cheti cha kuzaliwa kutoka Rita na Unaweza pia Kubadilisha NIDA majina yakasomana yote vyote vinawezekana ila kwa Muda huu ni mchache kwanini hukuanza Zamani process
 
Tatizo hakupatikana hata wa kunishaauri juu ya jambolangu
 
Achana na elimu hio sura wewe tayari ni comedian tosha
Tafuta fursa tu
 
Back
Top Bottom