Je, Nifanye Biashara gani?

Kwa laki Sita??

Laki sita kwa stationary inatosha unaanza Na peni Na madaftari na pia nunua camera kwa ajili ya passport size,Mimi kuna mtu alianza iyo biashara Na peni mbili saa hii ni habari nyingine
 
Fanya utaratibu fungua ofisi / kampuni ya kutoa huduma za upigaji picha, uchukuaji videos, all printing works, graphic designs, Marketing and Promotion. Unaweza pia ukaungana na vijana wenzio kama wawili kuweza kutoa huduma hizi. Mkipata vifaa vizuri na kazi zenu zikwa nzuri hamkosi kazi za kupiga picha na videos kwenye maharusi, kuprint business cards, vitabu mbalimbali vya maofisini nk. Tafuteni kaofisi, maana wapo pia wadada wanapenda kuja kufanya photoshoots. Pia mnaweza mnaweza kuanza kujifunza AI Tools na utengenezaji wa Apps, Softwares na Programs mbalimbali kwa ajili ya huduma za biashara nyingi zilizopo kwenye jamii. Just anzeni na kidogo lakini think big na muwe na vision.
 
Shukran sana
 
Kapige ishu za u winga wa iphone makumbusho
 
Laki sita kwa stationary inatosha unaanza Na peni Na madaftari na pia nunua camera kwa ajili ya passport size,Mimi kuna mtu alianza iyo biashara Na peni mbili saa hii ni habari nyingine
😂😂Ila wabongo hapana aisee!! Et alianza kwa peni mbili😂
 
Jifunze Freelencer ya kazi online.Jipe muda soma soma ndo uanze freelencer.
 
Laki sita kwa stationary inatosha unaanza Na peni Na madaftari na pia nunua camera kwa ajili ya passport size,Mimi kuna mtu alianza iyo biashara Na peni mbili saa hii ni habari nyingine
Hakuna haja ya kununua kamera picha unapiga na simu
 
Mmezunguka sana.
Aisee nitafute nikupe mchakato wa hiyo laki 6.
Umesema una PC??
Sasa hiyo laki 6 itakuingizia pesa ndefu sana.
FANYA BIASHARA YA LIBRARY AU MOVIE STORES.
KAMA computer unaweza kuitumia vinzuri na elimu unayo basi tayari mtaji wa kutosha unao.
Mchanganuo wa hiyo laki 6 nifuate in box.
Nakuambia hivi huto jutia maamuzi yako
 
[emoji119][emoji1666]
 
Ungetolea hapa ufafanuzi ili tukanufaika wote kaka
 
Jifunze ku run sponsored ad instagram, then ongea na biashara yoyote ambayo hawapo online waambie utawangazia na kuuza bidhaa/huduma zao kwa kuongeza kiasi kidogo juu ya Bei zao Ila ni lazima uhakikishe unaaminika

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…