dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Kwa laki Sita??Fungua stationery haraka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa laki Sita??Fungua stationery haraka sana.
Hakika mi nimekufollow kaka.Mungu akubariki kwakutokuwa mchoyoPitia page yangu ya instagram ya @kelvinkibenje kuna mawazo na uchambuzi mbalimbali wa biashara. Pitia ujifunze na kuchagua wazo lako.
Ww unadhani laki 6 ndogo kaka, siku itapoisha ndiyo utajua ilikuwa kubwa.Kwa laki Sita??
Kwa laki Sita??
Fanya utaratibu fungua ofisi / kampuni ya kutoa huduma za upigaji picha, uchukuaji videos, all printing works, graphic designs, Marketing and Promotion. Unaweza pia ukaungana na vijana wenzio kama wawili kuweza kutoa huduma hizi. Mkipata vifaa vizuri na kazi zenu zikwa nzuri hamkosi kazi za kupiga picha na videos kwenye maharusi, kuprint business cards, vitabu mbalimbali vya maofisini nk. Tafuteni kaofisi, maana wapo pia wadada wanapenda kuja kufanya photoshoots. Pia mnaweza mnaweza kuanza kujifunza AI Tools na utengenezaji wa Apps, Softwares na Programs mbalimbali kwa ajili ya huduma za biashara nyingi zilizopo kwenye jamii. Just anzeni na kidogo lakini think big na muwe na vision.Nyumban ni Tabora.
Baada ya kumaliza chuo napenda kuishi dar (asilimia kubwa) au mwanza..
Mm napenda mambo ya kutumia computer.
1.Sahz npo najifunza mambo ya Video editing.
2.Pia napenda mambo ya photography/photoshop.
Computer nafaham kuitumia kwa kiasi kikubwa na hatakama ktu flani ambacho kinahitahi matumizi ya computer nikawa sikifaham vizuri, ninauwezo wa kufatilia na kukifaham ndani ya muda mfupi.
Shukran sanaFanya utaratibu fungua ofisi / kampuni ya kutoa huduma za upigaji picha, uchukuaji videos, all printing works, graphic designs, Marketing and Promotion. Unaweza pia ukaungana na vijana wenzio kama wawili kuweza kutoa huduma hizi. Mkipata vifaa vizuri na kazi zenu zikwa nzuri hamkosi kazi za kupiga picha na videos kwenye maharusi, kuprint business cards, vitabu mbalimbali vya maofisini nk. Tafuteni kaofisi, maana wapo pia wadada wanapenda kuja kufanya photoshoots. Pia mnaweza mnaweza kuanza kujifunza AI Tools na utengenezaji wa Apps, Softwares na Programs mbalimbali kwa ajili ya huduma za biashara nyingi zilizopo kwenye jamii. Just anzeni na kidogo lakini think big na muwe na vision.
😂😂Ila wabongo hapana aisee!! Et alianza kwa peni mbili😂Laki sita kwa stationary inatosha unaanza Na peni Na madaftari na pia nunua camera kwa ajili ya passport size,Mimi kuna mtu alianza iyo biashara Na peni mbili saa hii ni habari nyingine
Jifunze Freelencer ya kazi online.Jipe muda soma soma ndo uanze freelencer.Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo.
Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au biashara gani ili maisha yapate kusogea kidogo kuliko kurudi kukaa nyumbani kijijini.
Mimi sina Uzoefu wowote katika mambo ya Biashara.
Hakuna haja ya kununua kamera picha unapiga na simuLaki sita kwa stationary inatosha unaanza Na peni Na madaftari na pia nunua camera kwa ajili ya passport size,Mimi kuna mtu alianza iyo biashara Na peni mbili saa hii ni habari nyingine
[emoji119][emoji1666]Mmezunguka sana.
Aisee nitafute nikupe mchakato wa hiyo laki 6.
Umesema una PC??
Sasa hiyo laki 6 itakuingizia pesa ndefu sana.
FANYA BIASHARA YA LIBRARY AU MOVIE STORES.
KAMA computer unaweza kuitumia vinzuri na elimu unayo basi tayari mtaji wa kutosha unao.
Mchanganuo wa hiyo laki 6 nifuate in box.
Nakuambia hivi huto jutia maamuzi yako
Ungetolea hapa ufafanuzi ili tukanufaika wote kakaMmezunguka sana.
Aisee nitafute nikupe mchakato wa hiyo laki 6.
Umesema una PC??
Sasa hiyo laki 6 itakuingizia pesa ndefu sana.
FANYA BIASHARA YA LIBRARY AU MOVIE STORES.
KAMA computer unaweza kuitumia vinzuri na elimu unayo basi tayari mtaji wa kutosha unao.
Mchanganuo wa hiyo laki 6 nifuate in box.
Nakuambia hivi huto jutia maamuzi yako
Jifunze ku run sponsored ad instagram, then ongea na biashara yoyote ambayo hawapo online waambie utawangazia na kuuza bidhaa/huduma zao kwa kuongeza kiasi kidogo juu ya Bei zao Ila ni lazima uhakikishe unaaminikaMimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nipo Dar es Salaam mitaa ya Magomeni, nmekaribia kumaliza chuo.
Hapa nilipo ninak kiasi cha shilingi Laki sita na nusu na PC. Naomba ushauri nifanye mishe au biashara gani ili maisha yapate kusogea kidogo kuliko kurudi kukaa nyumbani kijijini.
Mimi sina Uzoefu wowote katika mambo ya Biashara.