LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Ushauri, jifunze kutenganisha family na biashara au kazi, mapenz na biashara, undugu na biashara.kama kichwa kinavyojieleza je nifanye biashara na ndugu wa kuzaliwa nae au kila mmoja afanye yake tusije gombana.
Ushauri, jifunze kutenganisha family na biashara au kazi, mapenz na biashara, undugu na biashara.
1.Utashndwa kufanya baadhi ya vitu kwa aibu ya undugu ,kama maonyo, kutumana nk.
2. Kutake advantage, ndugu anaweza kuchukulia poa matendo yake hata kama mabaya ktk biashara akijua ndugu hato nichukulia hatua. Hili likiwemo hata ufujaji.
3.Ndugu wachach sana, wenye busara ya kujituma ktk uaminifu ktk kazi za ndugu zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda wajuze, tu. Kupitia uzoefu wako. Ila ishu za fedha ni hatari tu.Hii ni kweli binafsi nilijaribu na Ndugu karibu wote biashara fulani. Niliishia kutengwa na familia nzima. Acha kabisa Ndugu.
AahahaaUsijaribu usithubutu ..! Mm yamenikuta! Jamaa kila mtaa ana mwanamke na anakutambulisha kbs...ss mwachie lak 3 hapo ..inaisha bila hesabu..kumsema anazira!...huu mwez uishe tu kwakwel
NasitishaUsijaribu usithubutu ..! Mm yamenikuta! Jamaa kila mtaa ana mwanamke na anakutambulisha kbs...ss mwachie lak 3 hapo ..inaisha bila hesabu..kumsema anazira!...huu mwez uishe tu kwakwel