Kwa hiyo kwako chanzo Cha maji Geita ni Ziwa tu.... !!? Geita yote IPO ndani ya Ziwa kwamba wote wanagusa maji!!?....Chanzo cha maji...?? Unamanisha ziwa, mto...au unamaana nyingine??
[emoji849][emoji849][emoji849]Hakuna mtaji mdogo unajua kila pesa inaleta faida kubwa kama ukiituma kuleta pesa nyenzake hapo fanya hiv kwa mtaji huohuo wa mil 1 utaletaaa kiasi cha laki sita had Saba kwa wiki....
Ahahahahahaahahahahaha labda uuzeee ngadaaaaa [emoji39][emoji39]
Sio Mimi niliyeuliza hivyo...Mi nimeuliza kutokana na jibu lako... Ila vyanzo ni vingi Kuna mito, visima vidivyokauka, chemchem za asili zisizokauka, visima virefu vya kuchimba ....No, si kwamba Geita yote imegusa ziwa...
Nmeuliza ili unieleweshwe ulichokuwa unamanisha mkuu.
Jioni njoo Biva, nikushauriGeita DC